JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Majaliwa:Tanzania yawasilisha miradi nane TICAD

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika Mkutano wa Nane wa Kimataifa wa Wakuu wa Nchi na Serikali unaohusu ushirikiano wa Maendeleo baina ya Japan na Afrika…

Tanzania na Qatar zajadili ajira wakati wa Kombe la Dunia

Tanzania imeihakikishia Qatar kuwa ipo tayari kutoa vijana watakaoweza kufanya kazi nchini humo, hususan katika kipindi hiki ambacho mahitaji ya nguvukazi ni makubwa kutokana na nchi hiyo kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa Kombe la Dunia yatakayochezwa…

LIVE:Mkutano wa NHIF na wadau Geita

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekutana na wadau wake nchini kote kwa lengo la kuwasikiliza, kushauriana na kujadiliana namna ya kuboresha huduma mbalimbali wanazotoa ili ziweze kuwafikia kwa ufanisi. NHIF imejipanga kutoa huduma bora za matibabu kwa…

Tanzania, Israel kushirikiana kwenye ujuzi wa uzalishaji mbegu

Nchi za Tanzania na Israel zimeanzisha mazungumzo kuelekea katika makubaliano ya kushirikiana katika maeneo ya uzalishaji wa mbegu na kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Hayo yamezungumzwa jana Jijini Tel Aviv,Israel wakati wa mkutano baina ya Waziri wa…