JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Mpwapwa watakiwa kusimamia miradi

Na Mwandishi Wewtu,JamhuriMedia Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira, Dkt.Switbert Mkama, ametoa rai kwa wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao. Ametoa rai hiyo leo Agosti 2,2022, akiwa katika ziara…

Ndalichako aelekeza ukaguzi maalum matumizi ya fedha za Uviko-19

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako, ameelekeza kufanyika kwa ukaguzi Maalum juu ya matumizi ya kiasi cha fedha shilingi milioni 694. Fedha zimetumika kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa…

Chana awataka magwiji wa malikale duniani wafanye tafiti Tanzania

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WATAALAM wa fani ya Malikale wa Tanzania na Kimataifa wametakiwa waendelee kufanya tafiti zaidi nchini Tanzania kuibua maeneo zaidi yenye Urithi wa Masalia ya Kale ili jamii iweze kunufaika na matokeo ya tafiti zao. Wito huo umetolewa…