JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Asilimia 17 ya umeme unapotea kinyemela Zanzibar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia ASILIMIA 17 ya umeme unaopotea Zanzibar kutokana na baadhi ya watu kuunga umeme kinyume na sheria hali ambayo inapelekea nchi kukosa mapato. Waziri wa Maji,Nishati na Madini Shaibu Kaduara amesema wanaotumia umeme kinyume na Sheria ni kosa…

Dkt.Nchemba afanya ziara ya kushtukiza soko la Kariakoo

Na Benny Mwaipaja,JamhuriMedia,Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameiagiza mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutatua changamoto mbalimbali za wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo ili kuchochea biashara katika soko hilo linalotegemewa na wafanyabiashara…

Majaliwa: Tutaendelea kuondoa changamkto sekta ya nishati

Majaliwa: Tutaendelea kuondoa changamkto sekta ya nishati WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia kikamilifu sekta ya nishati nchini ili kuondoa changamoto mbalimbali zitokanazo na sekta hiyo….

Serikali:Hakuna mgonjwa wa homa ya nyani nchini

Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa…

Barua zenye maandishi mekundu yazua hofu kwa madiwani Mtwara

MADIWANI watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao. Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’ zimeandikwa…