JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

EWURA yaweka utaratibu wa kuomba leseni ya biashara ya mafuta rejareja

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa inaangalia usalama wa mafuta kwa watumiaji hivyo kufanya biashara ya mafuta bila leseni ni kosa la kisheria. Imesema kuwa kanuni za uendeshaji wa biashara ya…

‘Tanzania ni tajiri wa urithi wa utamaduni’

Makumbusho ya Taifa la Tanzania inatarajia kuwa na programu maalum ya kimakumbusho yenye vionjo vya Kiswahili kama sehemu ya zao jipya la kivutio cha utalii wa utamaduni. Akizungumzia Programu hiyo ya Kimakumbusho itakayofanyika Agosti 6,2022, Kijiji Cha Makumbusho Jijini Dar…

Ndalichako awataka vijana kuchangamkia fursa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kasulu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Prof.Joyce Ndalichako amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali kupitia Programu ya Taifa Taifa ya Kukuza Ujuzi ili kuweza kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki…

Balile:Kuna matumaini mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Taasisi 10 zimeandikiwa wito wa kuhudhuria mjadala wa kupitisha sheria za habari zinazolalamikiwa kuhusiana na mabadiliko ya vifungu mbalimbali vya habari ambayo wadau wanavipigia kelele kwamba, vinaminya uhuru wa habari nchini. Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa…