JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Uingereza kuisaidia sekta ya afya nchini

Serikali ya Uingereza imesisitiza itahakikisha inasaidia sekta ya afya nchini ili wananchi wapate huduma bora hasa upande wa mama na mtoto. Balozi wa Uingereza David Concar alisema hayo, wakati wa kumbukumbu ya miaka 70 ya Utawala wa Malkia wa Uingereza…

Rais Samia atoa wito kwa viongozi wa nchi za Afrika

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi Wakuu wa nchi za Afrika wachukue hatua za makusudi katika udhibiti wa uvunaji na biashara haramu ya usafirishaji wa mazao ya misitu. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito huo kupitia Hotuba iliyosomwa…

Dk.Chaula ataka ubunifu uendeshaji makazi ya wazee

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amewataka Maafisa Wafawidhi wa Makazi ya Wazee yanayohudumiwa na Serikali kuwa wabunifu katika uendeshaji wa Makazi hayo kwa kuwa na miradi mbalimbali itakayowezesha Wazee kupata…

TAKUKURU yapewa kibarua kuchunguza mradi wa afya Sikongwe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilayani Sikonge Mkoani hapa imeagizwa kufanya uchunguzi wa kina kwenye mradi wa afya Tutuo unaotekelezwa kwa fedha za serikali kiasi cha sh mil 250. Kiongozi wa Mbio za Mwenge…