JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Rais Dkt.Mwinyi awapa neno wana CCM nchini

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewataka wanachama wa CCM kuchagua viongozi makini watakaoweza kukivusha chama hicho katika Uchaguzi Mkuu ujao wa…

TEF:Tunataka sheria za habari zitupe mwongozo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema kuwa duniani kuna mifumo mitatu ya usimamizi wa vyombo vya habari ambapo kila Serikali huamua kuchagua mfumo mmoja ambao utawaunganisha na wana habari. Hayo ameyabainisha leo katika…

Majaliwa awapa kibarua uongozi Ikungi

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa,amekagua miradi ya maendeleo na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya cha Iglanson, Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi Veta na Hospitali ya Wilaya ya Ikungi vyote vikiwa wilayani humo mkoani Singida wakati wa…

IMF yashusha makadirio ya ukuaji uchumi wa dunia

Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha, uliopelekea kuwepo ukwasi wa kutosha katika mabenki, na hivyo kuchochea ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi. Hata hivyo, Kamati imeendelea kufuatilia kwa karibu ongezeko la mfumuko wa bei kutokana na kupanda kwa…