JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Balozi Katanga aitaka Benki Kuu kuongeza ufadhili kwa wanafunzi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mbeya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga ameitaka Benki Kuu ya Tanzania kuongeza idadi ya wanafunzi inayowadhamini kwa masomo ya elimu ya juu kuliko, akisema idadi ya wanafunzi inaowadhamini sasa bado ni ndogo sana. Alisema hayo wakati…

Vyama vya ushirika vyatakiwa kuwa mkombozi kwa wakulima,wafugaji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega amevitaka Vyama vya Ushirika vya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi nchini kuwa msaada katika kuleta maendeleo na sio kushiriki kushusha maendeleo ya wadau wa sekta hizo. Naibu Waziri Ulega ameyasema hayo…

TPA: Maonesho ya kilimo Nanenane ni muhimu kwa taasisi

Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia,Mbeya Maonesho ya Kilimo ya Nanenane 2022 yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeyayametoa fursa kwa Taasisi mbalimbali kukutana na wananchi hususani wakazi wa Mkoa wa Mbeya na mikoa ya jirani ya iliyopo Nyanda za Juu…

Treni binafsi za mizigo zatumia reli ya TAZARA ubebaji mizigo

Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA ni kampuni ambayo inafanya usafirishaji wa mzigo kupitia mpaka wa Tunduma mkoani Songwe ambapo Zambia na DRC Congo ndiyo zenye kutumia kwa kiwango kikubwa reli ya Tanzania kwa kubeba mzigo yake mingi…