JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Serikali kuwekeza katika makazi ya kuwatunza wazee

Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imekusudia kuwekeza katika Makazi ya Wazee nchini ili kuwa na miradi mbalimbali itakayozalisha mazao na kuchangia katika mapato ya Serikali. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…

Marenga:Kuna vifungu vya sheria si rafiki kwa wanahabari

Imeelezwa kuwa kuna adhabu zilizowekwa kwa makosa ambayo hayapo wazi kinyume na Ibara ya 13 (6)(C) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambacho kinachangia wadau wa habari kupiga kelele kubadilishwa kwa baadhi ya viungu vya sheria ya habari….

Rais Samia awalilia waliofariki kwa ajali Kahama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Edward Mjema kufuatia vifo vya watu 16 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea Agosti 8, 2022 katika…

19 wafariki baada ya magari manne kugongana Kahama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Watu 19 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari manne ikiwemo treka wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea katika barabara ya Isaka kwenye kijiji cha Mwakata halmashauri ya Msalala. Ajali hiyo…

Ushindani mkali kati ya Ruto na Odinga

Uchaguzi huu unaonekana kuwa kinyang’anyiro kikali kati ya wagombeaji Bw Odinga na Bw Ruto. Bw Odinga kiongozi wa upinzani wa muda mrefu, anayeitwa Baba “baba” na wafuasi wake, anawania urais kwa mara ya tano. Bw Ruto, ambaye amejaribu kusisitiza uhusiano…