JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Serikali yajiandaa kukabidhi madaraka Kenya

Serikali inayoondoka madarakani imeanza maandalizi ya kuikabidhi madaraka serikali ijayo,huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) ikiendelea na mchakato wa kujumlisha kura . Joseph Kinyua,Mkuu wa huduma za umma amesema wakati wa mkutano wa kamati inayosimamia makabidhiano ya…

Telegramu yaitupia lawama Apple kwa kuicheleweshea huduma

Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Telegram, Pavel Durov, ameikaishifu Apple kutokana na mchakato wa kampuni hiyo wa kukagua duka la Programu (Apple Store) “usio wazi” ambao unaichelewesha Telegram kutoa sasisho (ku-“Update”) kwa programu yake ambayo “itabadilisha jinsi watu wanavyojieleza katika…

Balozi Fatma ateta na ujumbe wa Saudi Arabia

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Fatma Rajab amekutana kwa mazungumzo na ujumbe wa wataalam kutoka Wizara ya Mazingira, Maji na Kilimo ya Saudi Arabia ambao upo nchini kwa ziara…

Tanzania yaweka rekodi kwa wananchi kuhamia vijijini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wakala wa Nishati Vijijini (REA),hadi sasa umetumia takribani Shilingi trilioni 3 kwa ajili ya kazi ya kupeleka miradi ya umeme vijijini ili kuhakikisha nishati ya umeme inafika na kutumika kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo ya uzalishaji,…

Meena:Sheria zenye mtego zimechangia kutia hofu wanahabari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar IMEELEZWA kuwa kuna mambo mengi yaliyochangia kutia hofu wanahabari ni pamoja na kuwepo kwa sheria zenye mtego, ikiwemo utaratibu wa kuomba leseni ya kuendesha gazeti kila mwaka. Hayo yamebainishwa na mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la…