JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Rais awataka wana-Iringa kuongeza usimamizi masuala ya lishe

Na Englibert Kayombo,JamhuriMedia,Iringa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi katika Mkoa wa Iringa kuongeza usimamizi katika masuala ya lishe bora kwa watoto ili kuwa na watoto wenye afya bora pamoja na rasilimali endelevu kwa…

Waziri Mchengerwa aipa kibarua BASATA

Na John Mapepele,JamhuriMedia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mohamed Mchengerwa ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupitia upya kanuni kwa kuwashirikisha wadau wote wa Sanaa nchini Tanzania ili ziweze kuainisha bayana mfumo mzuri wa ufanyaji kazi unaowashirikisha wasanii binafsi,…

Amuua mkewe na mtoto wake,walifunga ndoa mwezi uliopita

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Morogoro Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nasibu (31), mkazi wa kitongoji cha Maskati, Kata ya Tegetero Halmashauri ya Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Mariam Vitaris (19) na mtoto wake wa miaka 2 huku…

Dkt.Mpango atoa maagizo kwa Wizara ya Madini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,ameitaka Wizara ya Madini, STAMICO na NEMC kuongeza kasi ya ukaguzi wa migodi na midogo ili kubaini na kudhibiti uharibifu wa mazingira. Makamu wa Rais amesema hayo jana jijini…

‘Vyombo vya habari vinahitaji sheria rafiki’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedi, Dar TASNIA ya habari inapaswa kuwa na sheria na kanuni rafiki ili kuruhusu kukua na kwamba, kuweka sheria kali na ngumu, kunaua vyombo vya habari lakini kunaacha athari hasi kwa taifa. Hayo yamesemwa leo na Mjumbe wa…