JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

‘Uwepo wa sheria zinazotekelezeka kutaisaidia tasnia ya habari’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia VYOMBO vya habari vinaisaidia serikali katika kuona na kuchukua hatua, hivyo uwepo wa sheria zinazotekelezeka kunaweza kusaidia tasnia hiyo kuwa msaada mkubwa kwa serikali. Kauli hiyo ilitolewa na Salome Kitomari, Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari…

Kinana asema wanaodai urais wa Samia ni wa katiba sio wakweli

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameweka wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hasasan ni Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amepatikana kwa mchakato wa uchaguzi mkuu kwa kupigiwa…

TPA yajipanga kuhimili ushindani kibiashara

MAMLAKA ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema kuwa ili kuweza kuhimili ushindani katika biashara ya Bandari,imeendelea kuboresha matumizi ya mifumo ya TEHAMA kuondokana na mifumo ya zamani Mifumo katika utoaji huduma za Kibandari. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini…

DAWASA yatenga trilioni 1.029/-kutekeleza miradi ya maji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga sh. trilioni 1.029 kutekeleza miradi ya maji 13 ya kimkakati katika mwaka wa fedha 2022/2023. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini Dodoma na…

Balile:Bado kuna vifungu vya sheria ambavyo ni kandamizi’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF),Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungue vya sheria ya habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho. Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV…