JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

‘Kuna vifungu vya sheria vinavyowanyima usingizi waandishi wa habari’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia IMEELEZWA kuwa bado kuna vifungu vya sheria vinavyozuia uhuru wa habari na kuchangia waandishi wa habari kushindwa kutekeleza majukumu yao. Hayo yameelezwa leo Agosti 15,2022 na Mwenyekiti mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga,katika ofisi…

Wakenya watarajie kumpata rais wao leo

Matokeo ya uchaguzi Mkuu kenya huenda yakatolewa leo kama zoezi la kuhesabu kura litakamilika kutoka kwa kaunti zote. Kati ya wagombea wanne wa kiti cha urais nchini humo ni wagombea wawili wanaonyesha ushindani mkali kwa kukabana kwa idadi ya kura…

Majaliwa atoa rai viongozi wa dini kuombea amani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema viongozi wa dini hawana budi kuendelea kuiombea amani Tanzania pamoja na viongozi wake kwani bila amani hata kusanyiko la kidini haliwezi kufanyika. Akinukuu Quran tukufu sura ya 2, aya ya 126 (Quran 2:126), Waziri Mkuu…

Wakala mkuu wa Odinga azuiwa kuingia Bomas

Wakala mkuu wa mgombea wa urais kwa tiketi ya Azimio la Umoja kwenye kituo cha kuhakiki na kutangaza kura za urais cha Bomas, Saitabao Kanchory jana Jumamosi Agosti 13, 2022 alizuiliwa kuingia kwenye sehemu ya kuhesabia kura (auditorium) na polisi…

Johnson Sakaja ndiye Gavana mpya wa Nairobi

John Sakaja ameibuka mshindi wa wadhfa wa ugavana wa mji mkuu wa Kenya Nairobi. Bwana Sakaja alimshinda mwenzake wa chama cha Jubilee kutoka Muungano wa Azimio Polycarp Igathe baada ya kujipatia kura 699,392. Bwana Igathe alijipatia kura 573, 516. Edwin…

Waziri Gwajima aipongeza NMB kuwajali machinga

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza benki ya NMB kwa kutenga fedha kwaajili ya mikopo ya machinga na pia kuweka huduma zitakazorahisisha utendaji kazi wa kundi hili la wafanyabiashara…