JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Kiwanda cha kuchenjua madini ya shaba mbioni kuanzishwa Tunduru

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba kinatarajiwa kuanzishwa wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma ili kuwezesha shughuli za kuchenjua madini hayo kufanyika nchini na hivyo kulinufaisha taifa na watanzania. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko…

Odinga hatambui matokeo ya urais Kenya

Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya, kupitia wa Azimio la Umoja, Raila Odinga Raila, amekataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022, yaliyotangazwa jana na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya, Wafula Chebukati. Jana, Chebukati…

Afisa uchaguzi Kenya aliyetoweka apatikana akiwa amefariki

ALIYEKUWA msimamizi wa uchaguzi katika kituo cha kupigia kura katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, amepatikana akiwa amefariki siku chache baada ya familia yake kuripoti kuwa ametoweka, vyombo vya habari vya Kenya vinaripoti. Mwili wa Daniel Mbolu Musyoka umepatikana katika…

Waziri Mkenda aunda timu ufuatiliaji wahitimu kutoka VETA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,ameunda timu ya Wataalamu ya kufanya utafiti fuatilizi wa wahitimu wa mafunzo ya ufundi kutoka Vyuo vya Ufundi Stadi nchini (VETA), ili kusaidia maboresho ya mitaala nchini. Timu hiyo inaongozwa na Dkt….