JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Kesi ya mgogoro wa ardhi Pugu Kinyamwezi yarejeshwa Mahakama ya Wilaya

Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia,Dar Jaji Mwenegoha wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi ameamuru kesi ya mgogoro wa ardhi dhidi ya Frida Kysesi na Shaabani Kapelele ilirudi Baraza la Ardhi la Wilaya kwa ajili ya kusikilizwa. Uamuzi huo ulifikiwa jana baada ya…

Waziri Maryprisca atoa siku saba kwa meneja RUWASA Handeni

Naibu Waziri wa Maji Marry Prisca Mahundi ametoa siku saba kwa Meneja wa RUWASA Wilaya ya Handeni Mhandisi Hosea Joseph kuhakikisha anamsimamia mkandarasi wa Kampuni ya Mponela Dicksona Mwipoo anayetekeleza mradi wa maji katika Kijiji cha Msomera wilayani humo kuhakikisha…

Simba Queens watinga nusu fainali CECAFA

TIMU ya Wanawake ya Simba Queens ambayo ni sehemu ya Wekundu wa Msimbazi ya jijini Dar es Salaam imetinga Nusu Fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Ni kutokana na ushindi wa…

TANESCO yasitisha matengenezo ya LUKU

MATENGENEZO kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku yaliyokuwa yaanze Agosti 22 hadi 25, kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi yamesitishwa. Hatua hiyo imekuja baada ya muda mchache Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutangaza matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo…