JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Shaka akemea watumishi halmashauri kuhusishwa na unyanyasaji wa kingono

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza jana wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya…

Uzinduzi asasi za kiraia (AZAKI) suluhisho la maendeleo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Imeelezwa kuwa jitihada za makusudi zinazofanywa na Asasi za kiraia katika kuimarisha ushirikiano miongoni mwa wadau mbalimbali wa sekta hiyo zinatambuliwa na sekta binafsi kama sehemu muhimu ya kuharakisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla….

Prof.Muhongo ahamasisha wananchi kushiriki sensa

Na Fresha Kinasa,JamhuriMedia,Musoma Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara,Prof.Sospeter Muhongo ameendelea na zoezi la kampeni la kutoa elimu na hamasa kwa wananchi wa Kisiwani cha Rukuba ili washiriki kwa ufanisi kuhesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi Agosti…

‘Wadau wanavyotabasamu kutembea na Rais
Samia mabadiliko sheria ya habari’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia IMEELEZWA kuwa wakati wa mabadiliko ya sheria zinazominya uhuru wa habari nchini ni sasa na kwamba, harakati za kudai mabadiliko ya sheria hizo ilianza siku moja baada ya sheria zilizopo sasa kusainiwa mwaka 2016 na kuanza kutumika….