JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Mrema alikuwa ni mwanasiasa aliyepitia machungu mengi

Na Happiness Katabazi,JamhuriMedia LEO asubuhi Agosti 2, 20221 nimepokea taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour ( TLP), Augustine Lyatonga Mrema kuwa amefariki katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu Agosti 16, mwaka huu kwa…

Jafo ahimiza wananchi kushiriki Sensa Agosti 23

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Mjumbe wa Kamati ya Sensa kitaifa na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amewataka wananchi kutowabughudhi makarani wa sensa na badala yake kuwapa ushirikiano wafanikishe shughuli hiyo Aidha Jafo amesema kamati…

Mwanafunzi ajinyonga baada ya madaftari na nguo zake kuungua

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Njombe Mwanaunzi wa darasa la sita Marko Sanga (12), amekutwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kutumia mnyororo wa baiskeli kwa kile kinachodaiwa kuwa kutokana na radio, nguo za shule pamoja na madaftari kuungua kwa shoti ya umeme. Kwa…

Ridhiwani akabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa Kilosa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Kilosa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia mpango wa matumizi ya mashamba 11 aliyoyakabidhi mwishoni mwa wiki , wilayani humo kwa niaba…

Sensa ya Makazi Agosti 23 tuhesabiwa wote kwa maendeleo

Sensa ya Watu na Makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum…