JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Magu yatafuta mwarobaini changamoto ya wafugaji hifadhi ya Sayaka

Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Salum Kali amekutana na viongozi wa Chama na Serikali wa Wilaya hiyo kujadili mikakati ya kutatua changamoto ya wafugaji katika Hifadhi ya Sayaka Wilaya ya Magu. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi ya Mkuu…

Wizara, wadau wajipanga kupunguza tatizo la watoto mitaani

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha inapunguza tatizo la Watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani. Akizungumza katika kikao naTaasisi ya Azaria Foundation jijini Dodoma Agosti 22, 2022…

Makamba akabidhiwa uenyekiti Mradi wa Rusumo wa kuzalisha umeme

Waziri wa Nishati,January Makamba, amekabidhiwa Uwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Mradi wa Umeme wa Rusumo wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji unaoshirikisha nchi tatu za Burundi, Rwanda na Tanzania. Waziri Makamba amekabidhiwa jukumu hilo wakati wa Mkutano wa 14…

NBS yaweka wazi Rais atakavyohojiwa siku ya Sensa

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetangaza utaratibu ambao utatumika kuwahoji viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, katika Sensa ya watu na makazi, Agosti 23, mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa,…

Nchemba aziomba taasisi za dini kumuombea Rais Samia

Na Peter Haule, JamhuriMedia,Singida Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba ameziomba taasisi za dini kuendelea kumuombea Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, ili aendelee kuiongoza nchi vizuri na kutimiza dira yake ya uwekezaji katika sekta ya uzalishaji, kutengeneza ajira,…