JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Nchemba awataka wananchi kutoa taarifa sahihi kwa makarani

Na Peter Haule,JamhuriMedia,Singida Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka wananchi wote ambao hawajafikiwa na zoezi la sensa kuendelea kutenga muda na pia wakifikiwa watoe ushirikiano kwa makarani wa sensa kwa kutoa taarifa sahihi Dkt.Nchemba ameyasema hayo…

Mfuko wa dunia watoa bil.17/- kuboresha huduma za wajawazito

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imepata ufadhili wa Shilingi Bilioni 17 kutoka Mfuko wa Dunia wa Ufadhiliwa Huduma za Afya kwa ajili ya kuboresha huduma za wajawazito na watoto wachanga nchini ili kupunguza vifo vya…