JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Sillo: Fedha za UVIKO 19 za Rais Samia zimejenga madarasa 78 Babati

Mbunge wa jimbo la Babati Vijijini Mheshimiwa Daniel Sillo, amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili akiwa madarakani yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na serikali katika jimbo hilo na bado mipango inaendelea. Mheshimiwa Sillo ambaye pia ni mwenyikiti wa kamati…

Majaliwa awataka Ma’RC waimarishe mawasiliano utekelezaji zoezi la Sensa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini waimarishe mawasiliano ili kutatua changamoto zitakazojitokeza wakati zoezi la sensa likiendelea. Ametoa agizo hilo leo ( Alhamisi, Agosti 25, 2022) wakati akizungumza na wakuu wa mikoa kwenye kikao alichokiendesha kwa…

Mpango wa kuwawezesha vijana kujiajiri waiva

Na Mbaraka Kambona,JamhuriMedia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeandaa vituo atamizi vinne kwa ajili ya kuwafundisha vijana unenepeshaji wa mifugo ili waweze kujiajiri na kujiongezea kipato kupitia Sekta ya Mifugo. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mashimba Ndaki…