JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Babu miaka 92, afaulu mtihani wa hesabu

Mwanamume mkongwe wa miaka 92 anayeaminika kuwa mtu mzee zaidi nchini Uingereza kufanya mtihani wa GCSE amefaulu mtihani wake wa somo la hesabu darasa la tano – kwa alama ya juu zaidi. Derek Skipper,kutoka Orwell huko Cambridgeshire, alifanya mtihani baada…

Watoto wanne wafariki kwa kuungua moto uliowashwa na mganga wa kienyeji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi linamshikilia mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kuwasha moto kisha kusababisha watoto wanne wa familia moja kufariki huku saba wakilazwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo limetokea usiku…

Kamishina Mkuu wa UNHCR atua Dodoma

Kamishina Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR), Bw. Filippo Grandi yupo nchini tokea tarehe 24 Agosti 2022 kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine, atafanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Serikali na kutembelea Kambi…

Serikali kuendelea kuwekeza TAZARA

Serikali imesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya bilioni 12 kwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo ya ndani na nje ya nchi…