JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2022

NMB yaendelea kuwa kinara wa ufanisi nchini Tanzania

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Benki ya NMB imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2022. Faida kabla ya kodi imeongezeka kwa asilimia 54 na kufikia Shilingi bilioni 298 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 193 ya kipindi kilichoishia…

Makamba: Hatusambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa tu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Nishati,January Makamba amesema kuwa, Serikali haisambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa peke yake bali kuchagiza pia shughuli za kiuchumi ikiwemo uanzishaji wa viwanda. Amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda kinachochakata parachichi ili…

MOI wafanya upasuaji wa kibingwa kwa wagonjwa 7113

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kipindi cha mwaka mmoja imefanikiwa kufanyia upasuaji wa kibingwa wagonjwa 7113 wa tiba ya mifupa ikiwa ni idadi kubwa ukilinganisha na wagonjwa 6793 katika mwaka uliopita huku wagonjwa wa…

Balozi Umoja wa Ulaya amtembelea Jaji Mkuu

Na Mary Gwera,JamhuriMedia BALOZI wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) Tanzania, Manfredo Fanti amemtembelea Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya utoaji haki nchini. Akizungumza na Jaji Mkuu ofisini kwake katika…

‘Kosa atakalofanya mwandishi wa habari liwe la kwake’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia IMEELEZWA kuwa kosa la mwanahabari limekuwa likichukuliwa kama kosa la taasisi ya habari na kusababisha madhara makubwa ya kufungwa kituo ama gazeti tofauti na ilivyo kwenye tasnia nyingine nchini. Hayo yamesemwa na Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa…

Baba ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumrubuni binti yake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora MAHAKAMA ya hakimu mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30 jera Masanja Shija, mkulima na mkazi wa kijiji cha Shila kata ya Isanzu Mkoa wa Tabora baada ya kupatikana na kosa la…