JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2022

Kamishna lawamani kutaka kumega ardhi

MOROGORO Na Aziza Nangwa Taasisi ya Tretem Network of Schools Limited imemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kuingilia kati kitendo cha Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro, Frank Minzikuntwe, kutaka kumega eneo lao kisha…

 Ngorongoro na Loliondo: Kuna uchochezi na ya kujifunza

DAR ES SALAAM NA THEONESTINA KAIZA-BOSHE Katika mpango wa kuwahamisha wafugaji na mifugo yao kwa hiari kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwenda Kijiji cha wafugaji Msomera, Handeni mkoani Tanga, serikali imefanya tukio kubwa la kipekee na la kihistoria. …

Mpole kuwa mpole kidogo kwa Simba

Dar es Salaam Na Andrew Peter Kama kuna jina lililopunguza furaha ya Wanayanga katika siku ya mwisho wa msimu huu, ni George Mpole. Mpole, mshambuliaji wa Geita Gold. Aliwakatili mashabiki wa Yanga waliokuwa na imani ya kuona nyota wao Fiston…

Miaka 30, Rais Samia amefungua milango

Na Deodatus Balile, Dar es Salaam Julai 1, 2022 Tanzania imetimiza miaka 30 tangu mfumo wa siasa za vyama vingi urejee hapa nchini. Wakati mfumo huu ukirejea mwaka 1992, ilikuwapo hofu kubwa katika sehemu mbalimbali za nchi hii. Wengi walivihusisha…

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI:  Changamoto na mustakabali kusonga mbele

DAR ES SALAAM Na Samia Suluhu Hassan Leo Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho taifa letu limepita katika kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati taifa linapoanza…

Ma-DJ warembo wanaosumbua Afrika

NA CHRISTOPHER MSEKENA Hivi karibuni wasichana wamekuwa mstari wa mbele katika kuchagiza mafanikio ya Bongo Fleva, hasa katika upande wa kuchezesha muziki kama ma-dj katika vituo vya utangazaji (redio na runinga), matamasha, klabu na kadhalika. Warembo kama DJ Fetty, DJ…