JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2022

Nyangao waomba madaktari bingwa zaidi kutoka MOI

LINDI Na Aziza Nangwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya St. Walburg’s Nyangao, Dk. Masanja Kasoga, anaiomba serikali na wadau kuwawezesha na kuongeza madaktari bingwa wa mifupa, ubongo na mishipa ya fahamu  kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI). Uongozi wa hospitali…

Jafo awajia juu wanaotiririsha maji taka

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WAZIRI wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt.Selemani Jafo amelitaka Jiji la Dar es Salaam kupitia kitengo cha mazingira kubaini waliounganisha mfumo wa maji taka kwenye mfumo wa maji ya mvua ili hatua…

Yanga, Simba, Azam usajili wa bilioni utavuna nini CAF?

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Usajili wa Yanga, Simba na Azam msimu huu hakuna shaka klabu hizo kwa pamoja zimekwisha kutumia zaidi ya Sh bilioni moja katika kuwanasa nyota hao. Ni jambo zuri kuona klabu zetu zimeamua kuvunja benki…

Mambo matano muhimu kwa Rayvanny nje ya WCB

NA CHRISTOPHER MSEKENA Wiki iliyopita Staa wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameteka mitandao ya kijamii baada ya kutangaza kuachana na Lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz. Hatua hiyo imekuja baada ya Rayvanny kuwa mkubwa kiasi cha kuona sasa anaweza kujisimamia…

Miaka minne ya kishindo shule za serikali

Wakati wa uongozi wa Awamu ya Kwanza chini ya Mwalimu Julius Nyerere, serikali ilijitahidi na kufanikiwa kujenga shule za msingi na sekondari kwa madhumuni ya kutoa elimu kwa vijana. Wakati huo hapakuwa na shule nyingi za binafsi kama ilivyo sasa….

Spika ataka sekta za kilimo, nishati kufungamana

LILONGWE Na Mwandishi Maalumu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) kufungamanisha sekta za kilimo na nishati kupitia mikakati  mbalimbali ya kukuza uchumi wanayoitekeleza.  Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 51…