Month: March 2022
CRDB inapiga hatua kila kukicha
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Benki ya CRDB imeendelea kupiga hatua kubwa za kupigiwa mfano katika sekta ya fedha nchini, na sasa inatoa huduma katika maeneo yaliyodhaniwa kuwa yanazifaa nchi za Ulaya pekee. Ukiacha kushusha riba, kujenga jengo kubwa,…
Marekani yamnyooshea kidole Mtanzania
*Yamtuhumu kushiriki ugaidi, kusambaza silaha Msumbiji CAPE TOWN Afrika Kusini Peter Charles Mbaga, raia wa Tanzania, anatajwa na Idara ya Fedha ya Marekani kama mmoja wa watu wenye uhusiano na kikundi cha kigaidi cha Msumbiji, ISIS-Mozambique. Mbaga anayefahamika pia kama…
Kaulimbiu Siku ya Wanawake itekelezwe kwa vitendo
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani. Kwa kawaida huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka. Kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Usawa wa jinsia leo kwa maendeleo ya kesho’. Lengo likiwa ni kutambua mchango wa wanawake na wasichana duniani kote katika kukabiliana…
Madai Tume ya Uchaguzi ni masafa mafupi
KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Hivi karibuni Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza waziwazi kuwa kitaendelea kunadi na kufanya ushawishi wa kudai Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kama sehemu pekee wanayoona italeta uchaguzi huru na wa haki. Wamesema watashirikiana na vyama…
SIKU YA WANAWAKE Warembo wanavyoupiga mwingi Bongo
DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Niwapongeze wanawake kwa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani. Ni siku muhimu ambayo wanawake pekee waliothubutu kufanya mambo makubwa kwenye sekta mbalimbali ndio wanastahili kupokea pongezi hizo. Nyakati zimebadilika na sasa ni majira ambayo tunaona…
Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (5)
Dar es Salaam Na Mwl. Paulo Mapunda Wiki iliyopita tuliwatazama Wapythagoras na ufahamu wao kuhusu ukuu na utukufu wa namba, kwamba kwao 10 ni namba takatifu kwa kuwa ni jumla ya namba moja hadi nne (1+2+3+4=10) na kwamba ni Albert…