Month: May 2018
WAZIRI MKUU AWAPOKEA WANACHAMA WAPYA 89 KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama saba kutoka vyama vitatu vya upinzani ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) na wengine 82 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao walikuwa wapiga debe. Wanachama hao wamepokelewa leo mchana (Ijumaa, Mei 25,…
WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi. Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018)…
Waziri Mkuu Aonya wakulima wasiwauzie chomachoma, ataka wasubiri minada
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya wakulima wa ufuta wasikimbilie kuuza zao hilo kwa wanunuzi wasio rasmi maarufu kwa jina la chomachoma bali wasubiri minada itangazwe mwezi ujao. “Ninawasihi msikubali kuuza kwa akina chomachoma bali tumieni Mfumo wa Stakabadhi za…
Mwanamgambo aliyejaribu kumpindua Fidel Castro afariki
Luis Posada Carriles, mzaliwa wa Cuba na ajenti za zamani wa CIA ambaye alitumia miaka yake mingi akijaribu kuipindua serikali ya kikomunisti ya Cuba amefarikia huko Florida akiwa na miaka 90. Bw Posada Carriles alikuwa mmoja wa maadui wakubwa wa…