JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2018

Sheria mpya ya kulinda faragha yazinduliwa Ulaya

Sheria mpya ya kulinda faragha ya mtu Ulaya imeanza kutekelezwa leo Ijumaa, ikisimamia zama zinazo kusudia kulinda faragha ya raia na kurekebisha jinsi makampuni yanavyo kusanya, kutumia na kuhifadhi taarifa zao. Sheria hiyo mpya inaanza kutumika wakati ambapo kampuni kubwa…

Watu 50 wafariki Dunia kwenye ajali ya boti DR Congo

Watu 50 wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya boti kuzama kwenye mto kaskazini mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa Richard Mboyo Iluka, naibu gavana wa jimbo la Tshuapa, boti hilo lilikuwa limewabeba abiria wengi, wengi wao wafanyabiashara,…

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) LATILIA MKAZO SWALA LA KUUMWA NA NYOKA

Nchi wanachama wa mkutano wa shirika la afya duniani wamepitisha azimio la kutambua kuumwa na nyoka kuwa ni suala linalohitaji kupewa kipaumbele katika kulishughulikia. Maelfu ya watu hufa kila mwaka na wengine kuwa walemavu kutokana sumu inayotokana na shambulio la…

RUVU SHOOTING YAGOMA KUFUNGWA NA YANGA TAIFA

Ruvu Shooting imeilazimisha Yanga  sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Yanga walikuwa wa kwanza kujipatia bao katika dakika ya 19 ya mchezo kupitia kwa Matheo Anthony kabla ya Ruvu Shooting kusawazisha ikiwa ni dakika ya…

RC DKT. KEBWE AAGIZA WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI GAIRO WAKAMATWE

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipokea maelezo ya wizi wa pampu ya maji kutoka kwa mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe katika Kijiji cha Italagwe Kata ya Italagwe ili kuweza kuwalejeshea wanachi maji. Picha…