Month: May 2018
Viongozi wa Korea wafanya mkutano wa ghafla
Viongozi wa Korea Kaskazini na Kusini wamekutana eneo lenye ulinzi mkali kati ya nchi hizo mbili. Mkutano huo ndio wa pili kati ya rais wa Korea Kusini Moon Jae-in na kiongozi wa Korea Kusini Kim Jong-un. Unafanyika wakati pande…
Ajali ya barabarani Uganda yauwa 23, kujeruhi 25
Watu 23 wamefariki dunia na wengine 25 wamejeruhiwa kwa ajali mbaya basi iliyotokea wilaya ya Kiryandongo nchini Uganda. Polisi wamesema basi linalomilikiwa na kampuni ya Gaagaa bus liligonga trekta kwa nyuma na baada ya hapo, kupoteza muelekeo na kusababisha kugongana…
Mr Nice Karudi tena kwenye game, Sikiliza Ngoma yake Mpya “Wanabaki Hoii”
Msanii mkongwe wa muziki, Mr Nice ameachia video yake mpya ya wimbo, ‘Wanabaki Hooii’ akiwa katika muonekano tofauti kabisa. https://youtu.be/KBuFmDxkzqo
Azam Fc Wapambana Kumsainisha Donald Ngoma
Uongozi wa Klabu ya Azam FC yenye makazi yake huko Chamazi jijini Dar es salaam, umethibitisha kuwa umeingia makubaliano ya usajili na mshambuliaji Donald Ngoma, kwa ajili ya msimu ujao 2018/2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo mapema…
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TIRA
RAIS John Magufuli amemteua Bi. Khadija Issa Said kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Kusimamia Shughuli za Bima Tanzania (TIRA).