JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2018

KAMPUNI YA QNET YATOA MSAADA WA VYAKULA KITUO CHA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA NEW LIFE ORPHANS.

 Meneja wa QNET, Muqtadir Suwani akizungumza na waandishi wa habari   Meneja wa QNET, Muqtadir Suwani(kulia) akipeana mkono na Katibu wa  kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu cha New Life Orphans Home, Hamadi Kondo mara baada ya kutoa msaada wenye…

VIJANA WASHAURIWA KUWA WASHIRIKI WA MAENDELEO NA SIO WANAOYASUBIRI

MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Alvaro Rodriguez amewataka vijana wa Tanzania kuwa washiriki katika mipango ya maendeleo na sio kusubiri kufanyiwa.   Aidha ameshauri vijana kuacha kuilalamikia serikali na jumuiya ya kimataifa kuhusu ajira na badala…

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya

Polisi wa eneo la Merseyside, Uingereza wamesema wanafahamu kuhusu vitisho vya maisha ambavyo vimetolewa dhidi ya mlinda lango wa Liverpool Loris Karius baada ya kuchezwa kwa fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumamosi. Maafisa wamesema vitisho vyovyote vinavyotolewa kupitia…

REAL MADRID MABINGWA ULAYA, WAMEWATANDIKA LIVERPOOL MABAO 3-1

Real Madrid ya Hispania usiku huu wamefanikiwa kunyakua taji la Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuwalaza Liverpool kwa mabao 3-1. Awali mchezo huo, ulikuwa wa kasi na kuvutia, ambapo dakika 45 za kipindi cha kwanza milango ilikuwa migumu na matokeo…

Mbunge wa CHADEMA amefariki

Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Kasuku Samson Bilago (CHADEMA) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha Marehemu Bilango alikua anakabiliwa na maradhi ya utumbo, ambapo alisafirishwa kwa…