Month: May 2018
TWITTER: Watumiaji wetu Tafadharini Badilisheni Nywila(Password) Zenu Haraka Sana
Mtandao wa Twitter umewataka watuamiaji wake zaidi ya milioni 330 kubadili nywila (password) zao baada ya kubaini tatizo lililosababaishwa nywila za baadhi ya watumiaji kuwa wazi (unmasked) tofauti na zilivyokuwa zinatakiwa kuwa zimefunikwa (masked) katika mfumo wa kompyuta. Twitter imetoa…
Msigwa Aelezea Kilichompeleka kwenye Muariko wa Rais Magufuli Iringa
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amewaomba msamaha wananchama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuatia kauli yake aliyoitoa wakati akiwa katika halfa ya chakula katika Ikulu Ndogo mkoani Iringa. Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Rais…
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA BARABARA NA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUZALISHA CHAKULA CHA KUKU NA VIFARANGA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada…
Dawasco yatangaza kuhamia mfumo wa malipo wa serikali (GePG)
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limetangaza kuhamia rasmi katika mfumo wa malipo wa serikali (GePG). Hatua hii imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba na kampuni mbili za malipo ya kidijitali za Selcom na Maxcom waliokuwa wakikusanya…
GGM na TACAIDS kuzindua Kilimanjaro Challenge 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro (Kilimanjaro Challenge 2018), litakalo kwenda sambamba na kuendesha harambee kuchangisha fedha kwa mwaka 2018…