JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2018

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Uchumi wa Viwanda

Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wametakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya tano ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Kauli hiyo ilitolewa leo jijini Dar Es…

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA VIJIJI MBALIMBALI VILIVYOPO KILOMBERO WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA KUFUNGUA DARAJA KUBWA LA MTO KILOMBERO LILOLOPEWA JINA NA DARAJA LA MAGUFULI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mang’ula kona katika Wilaya ya Kilombero wakati akiwa njiani kuelekea kufungua Daraja kubwa linalopita katika mto Kilombero (Daraja la Magufuli lenye urefu…

MENEJIMENTI YA MAHAKAMA TANZANIA YAWAAGA MAJAJI WAPYA WALIOTEULIWA KUTOKA MAHAKAMA

Waheshimiwa Majaji wapya wa Mahakama Kuu walioteuliwa kutoka Mahakama wakiwa katika picha ya pamoja, katikati ni Mhe. Ilvin Mugeta, Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, kushoto ni Mhe. Elinaza Luvanda, Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na aliyesimama kulia ni…

RAIS MAGUFULI AONGEA NA WANANCHI MIKUMI, AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU –IFAKARA YENYE KM 66.9 PAMOJA NA DARAJA LA MTO RUAHA KATIKA ENEO LA NYANDEO KIDATU

Wananchi wakimsikikliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli eneo Mikumi wakati akiwa njiani kuelekea kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika…

Uamuzi wa Mahakama Kuu Mtwara kuhusu kesi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao

Mahakama Kuu Kanda Mtwara imetoa zuio la muda dhidi ya matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao (Online Content Regulations) hadi hapo mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu maombi ya walalamikaji yaliyowasilishwa. Maombi hayo yaliyowalishwa mahakamani na waombaji 6 wakiwemo Jamii Media,…