JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2018

Kigogo CCM anaswa uraia

*Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3   NA WAANDISHI WETU, DODOMA   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel…

Serengeti Boys yajipanga Afcon 2019

NA MICHAEL SARUNGI Ubingwa wa Kombe la Chalenji walioupata vijana wa Tanzania chini ya miaka 17 (Serengeti boys) unapaswa kuwa chachu ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mashindano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini mwakani. Wakizungumza na JAMHURI…

Uhuru wa habari uanzie kwenye vyumba vya habari

DODOMA. EDITHA MAJURA. Serikali na Vyombo vya habari, wametuhumiana kuminya uhuru wa vyombo vya habari nchini. Wakati serikali ikituhumiwa kutofanya vizuri katika kudhibiti usalama wa wanahabari wanapotekeleza majukumu yao, serikali nayo imesema vyombo vya habari vinaminya maslahi ya wanahabari kiasi…

Tuboreshe elimu, tutokomeze utoro

MTAZAMO. NA ALEX KAZENGA Wakati bunge likijadili kupitisha bajeti ya Sh trilioni 1.4 iliyoletwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2018/19, wabunge waliochangia bajeti hiyo wameonya kuhusu ubora na viwango vya elimu visivyoridhisha. Katika…