Month: May 2018
Sikiliza Nyimbo mpya ya Ali Kiba “Mvumo wa Radi”
Msanii Ali Kiba ameachia video ya wimbo mpya unaojulikana kwa jina la Mvumo wa Radi
Chombo cha Satelaiti kilichoundwa Kenya kitarushwa katika anga za juu leo kutoka Japan
Wanasayansi wa anga za juu kutoka Kenya waliokiunda chombo hicho tayari wako katika makao ya Uchunguzi wa Sayansi ya Anga za juu nchini Japan, (JAXA) ambapo chombo hicho kitarushwa kutoka huko. Nchini Kenya kwenyewe raia wataweza kufuatilia shughuli hiyo moja…
MAJALIWA:TUPO TAYARI KWA FAINALI ZA AFCON 2019
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo tayari kwa maandaalizi ya fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 AFCON…
SERIKALI YAKUSUDIA KUTAFUTA MBIA MWINGINE MRADI WA UDART
SERIKALI imesema inakusudia kuongeza mtoa huduma mwingine katika uendeshaji wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambayeataingiza mabasi yake na kutathmini ufanisi wa mbia wa sasa ili kuimarisha huduma ya usafiri Jijini Dar es salaam . Amesema iwapo itabainika kwamba mwendeshaji…