JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2018

Walioshtakiwa ulaji rushwa Kenya kukaa rumande wiki moja

Watuhumiwa 24 walioshtakiwa kuhusiana na kashfa ya ufujaji wa pesa katika Shirika la Vijana wa huduma kwa Taifa (NYS) watakaa rumande kwa wiki moja. Jaji ameamuru wazuiliwe hadi Jumatano wiki ijayo ambapo uamuzi wa kuachiliwa kwa dahamana utatolewa. Miongoni mwa…

MKANDARASI WA KITUO CHA AFYA GAIRO ATAKIWA KUMALIZA KAZI KWA WAKATI

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ameutaka uongozi wa wilaya ya Gairo unamsimamia mkandarasi na kuhakikisha upanuzi wa kituo cha afya na unakwisha kwa wakati. Akizungumza na uongozi na mkandarasi wakati wa ziara yake mwishoni mwa wiki…

RAIS WA MALI AMTAKA ALIYEMWOKOA MTOTO UFARANSA ARUDI NYUMBANI

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amemtaka kijana shujaa, mhamiaji kutoka nchini kwake, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto mdogo aliyekuwa amening’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo refu jijini Paris, Ufaransa arudi nyumbani kwani amemwandalia kazi Jeshini.   Balozi wa…

VIJANA 966 WAHITIMU MAFUNZO YA KIJESHI MLALE JKT

 Mwakilishi wa mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa(Jkt)Kanal Hassan Mabena kulia akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika kikosi cha 842 Kj Mlale jana wakati mkuu wa mkoa alipkwenda kwa ajili ya kufunga mafunzo ya kijeshi na…

Tanzania itaendelea kushiriki katika ulinzi wa amani duniani, Balozi Mahiga

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akihutubia katika maadhimisho ya miaka 70 ya Siku ya Walinda Amani Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mashujaa vya Mnanzi Mmoja Jijini Dar es Salaam tarehe…

Sterling ameeleza sababu za kuchora tattoo ya bunduki mguuni

Staa wa timu ya taifa ya England anayecheza club ya Man City inayoshiriki Ligi Kuu England Raheem Sterling baada ya headlines za muda mrefu na watu kuhoji kwa tattoo yake ya bunduki mguuni ameamua kufunguka. Raheem Sterling ambaye ni raia…