JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2018

Rais Magufuli Atoa Wito kwa Majeshi Yote Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Mei, 2018 amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kilichopo katika kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani…

WAZIRI MKUU: SERIKALI INASIMAMIA ELIMU, NIDHAMU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inasimamia kwa karibu miundombinu ya elimu nchini, malezi na nidhamu ili kuhakikisha kunakuwa na usawa katika ngazi zote.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali…

MAJALIWA: SERIKALI IPO MAKINI NA AJIRA ZA WAGENI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Seriali ipo makini na ajira za wageni na itaendelea kuhakikisha kuwa Watanzania wanapewa fursa kwanza.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo…