Month: May 2018
RAIS DONALD TRUMP AHOFIA MKUTANO NA JONG-UN
Rais Trump ametilia shaka kufanyika mkutano adimu na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mwezi june huko Singapore . Amesisitiza kuwa hata hivyo Korea kaskazini itapaswa kutimiza vigezo vilivyowekwa ambayo ni nadra kutokea. Korea Kaskazini ilikwisha sema kuwa inaweza kujiondoa…
Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob, Aelezea Mipango wa Kuwawezesha, Wananchi wa Manispaa Ya Ubungo
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob amefafanua kwa kina Miradi ya maendelea iliyoanzishwa, katika Manispaa yake. Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na mradi wa maendeleo kwa Wanawake na Vijana ambapo alisema mradi huo unaendelea vizuri hivyo amewataka…
Unai Emery Kumrithi Mzee Wenger , Arsenal
Mtandao rasmi wa Unai Emery umeweka picha iliyo na ujumbe: “Nasikia fahari kuwa katika familia ya Arsenal.” Meneja huyo wa zamani wa Paris St-Germain manager anatarajiwa kuzinduliwa rasmi kama mrithi wa Arsene Wenger wiki hii. Klabu hiyo ya London bado…
TAASISI YA UHUSIANO WA UMMA TANZANIA (PRST) KUADHIMISHA WIKI YA MAWASILIANO AFRIKA MEI 25, 2018 JIJINI DAR
Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania, (PRST) inatarajia kufanya maadhimisho ya wiki ya Mawasiliano Afrika, iliyoanza tokea Mei 21 na kilele chake kinatarajiwa kuwa Mei 25, 2018 na Tanzania watafanyia kwenye Ofisi ndogo ya Bunge iliyopo Posta Jijini Dar es…
Saba Wafariki kwa kipindupindu Rukwa.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amethibitisha kufariki kwa wagonjwa saba wa kipindupindu katika Wilaya ya Sumbawanga huku wagonjwa wengine 44 wakibaki wodini kuendelea kupatiwa matibabu na wagonjwa 115 wakiruhusiwa kurudi nyumbani. Amesema kuwa ugonjwa huo umelipuka tarehe…