Month: April 2018
Cape Town: Jiji la kitalii linalokabiliwa na upungufu wa maji
Cape Town iliyopo Afrika Kusini ni miongoni mwa majiji machache yenye vivutio vya utalii vinavyochangia pato la taifa hilo lenye nguvu kubwa ya uchumi barani Afrika, hivi sasa linakabiliwa na upungufu wa maji ulio kero kwa wenyeji na wageni. Meya…
Wakulima wa kahawa kupata neema
Na Charles Ndagulla, Moshi WAKULIMA wa zao la kahawa nchini hawana budi kufurahia mabadiliko ya taratibu mpya za usimamizi wa sekta ndogo ya kahawa baada ya kupitishwa kwa uamuzi mgumu ambao utachangia kuleta ufanisi katika uzalishaji wa zao hilo. Miongoni…
Nyerere – Demokrasia
“Wananchi wanapoonyesha makosa ya uamuzi wa kipumbavu wanatumia haki yao ya uraia. Wanaponung’unika kwa uamuzi ambao si wa kipumbavu wanaweza wakaelekezwa mpaka wakaelewa kwanini uamuzi ule ulifanyika, na faida zake ni nini.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyochukuliwa…
Maelfu wamzika Allen Mbeya
Na Thompson Mpanji, Mbeya MAELFU ya Wakazi wa Jiji la Mbeya wamejitokeza kumzika Shemasi wa Kanisa la EAGT, Kisima cha Bubujiko lililopo Mtaa wa Iyela II, Uwanja wa Ndege wa Zamani, jijini Mbeya, Allen Achiles Mapunda (20), aliyefariki Machi 25, mwaka…
Rais, wadau saidieni wanafunzi Butiama
Si jambo jema sana kutumia safu hii kueleza shida ninazoguswa nazo moja kwa moja. Si vizuri kwa sababu naweza kuonekana najipendelea. Hata hivyo, nitakuwa sina msaada endapo nitashindwa kutumia fursa hii kufikisha sauti ya ‘wasio na sauti’ kwa nia njema…