JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2018

Fimbo ya mbali na udhaifu wake

Moja ya kaulimbiu alizotoa Mwalimu Julius Nyerere alipoanza kuongoza Tanzania ilikuwa kusisitiza vipengele vinne muhimu vya kuleta maendeleo: ardhi, watu, siasa safi, na uongozi bora. Naijenga zaidi hoja juu ya umuhimu wa watu, siyo kwa ujumla wake kama ambavyo Mwalimu…

Mafanikio yoyote yana sababu (17)

Na Padre Dk. Faustin Kamugisha Kujua unachokitaka ni siri ya mafanikio. “Kama unataka kufanikiwa maishani, lazima ujue unachokitaka,” amesema Fabienne Frederickson. Amua unataka nini? Kama unataka kuishi bila kujutia, tafuta unachokitaka ili mradi ni kizuri na ni halali. “Kama unataka…

Wanafunzi ‘Shule ya Waziri Jafo’ wasomea chini ya mti

DODOMA EDITHA MAJURA Shule ya Msingi Nzuguni ‘B’  ya mkoani Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hivyo kuwalazimu wanafunzi kusoma kwa zamu. Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo ndiye mlezi…

Hongera Rais John Magufuli

Wiki iliyopita, Rais John Magufuli alipokea ndege aina ya Bombardier Q400 yenye uwezo wa kubeba abiria 70, ikitokea nchini Canada. Katika hafla hiyo, Rais Magufuli akawataka Watanzania kujivunia ndege hiyo ya tatu ikiwa ni miongoni mwa ndege sita alizoahi kuzinunua….

Simba Yazidi Kuukaribia Ubingwa, Yaikung’uta Mtibwa Sugar Bao 1-0

Simba SC imeendelea kujikita kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuitandika Mtibwa Sugar  bao 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mchezo huo uliokuwa unaambatana na mvua iliyokuwa ikinyesha Uwanjani, ulishuhudiwa nyavu zikitikiswa mnamo dakika ya 24 ya kipindi…