Month: February 2018
MCHEZA TENISI, MUGURUZA ATINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA DUBAI
Mchezaji Tenisi Garbine Muguruza amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Dubai baada ya kumshinda Caroline Garcia katika mchezo wa wa pili war obo fainali na kutinga Nusu fainali ya Dubai. Muguruza alifuzu hatua robo fainali baada ya…
ARSENAL YACHEZEA KICHAPO NYUMBANI
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kikosi chake kilijivuta sana na kunusurika dhidi ya klabu ya Sweden Ostersunds FK, hivyobasi kufuzu katika raundi ya timu 16 bora katika kombe la ligi ya Yuropa. Arsenal ilishinda awamu ya kwanza 3-0,…
Serikali ya Nigeria yaomba radhi utekwaji wasichana
Kumekuwa na ongezeko la hali ya hasira kwa wazazi wa wasichana wanaodaiwa kutekwa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram ambao siku ya jumatatu wamevamia shule moja ya wasichana katika mji wa Daptch nchini humo. Wazazi wa wanafunzi hao waliokuwa…
DIWANI WA CHADEMA AUWAWA KWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA MOROGORO
Diwani wa CHADEMA, Godfrey Lwena ameuawa usiku wa Alhamisi nyumbani kwake. Kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei amethibitisha kuuawa kwa diwani huyo wa Kata ya Namwawala, Jimbo la Mlimba. Hata hivyo kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Matei…
Ajali ya Malori Yajeruhi Mwandishi wa Gazeti la Uhuru
Mwandishi wa habari wa Gazeti la Uhuru, Mariam Mziwanda, amejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Tabata TOT jijini Dar es Salaam, usiku huu baada ya gari dogo alilokuwa akiliendesha lenye namba za usajili T222 DJX kugongana na lori…