Month: February 2018
Mechi ya Yanga v Ndanda yasogezwa mbele
Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo namba 153 kati ya Lipuli na Ndanda uliokuwa uchezwe Ijumaa Machi 2, 2018 kwenye Uwanja wa Samora,Iringa. Mchezo huo wa raundi ya 20 ligi kuu soka Tanzania Bara sasa umesogezwa mpaka Jumapili…
YANGA YAIFUATA MAJIMAJI, SONGEA KUCHEZA MCHEZO WAO WA 16 BORA KOMBE LA FA KESHO JUMAPILI
Kikosi cha Yanga leo kinatarajia kusafiri kuelekea Mkoani Songea kucheza na Majimaji katika mechi yao ya kesho Jumapili ya 16 Bora ya Kombe la FA. Yanga inakwenda Songea ikiwa ni siku moja tu tangu iliporejea kutoka Victoria, Shelisheli ambako…
ARSENAL USO KWA USO NA AC MILAN EUROPA LIGI HATUA YA 16
Hatua ya 16 bora katika EUEFA Europa League imeshapangwa baada ya timu 16 kufuzu kutokana na mechi zilizochezwa wiki hii. Katika ratiba, mechi inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka duniani, ni AC Milan ambayo itakuwa mwenyeji katika mchezo wa…
ZITTO KABWE AENDELEA KUSOTA RUMANDE, KWA TUHUMA ZA KUFANYA MKUTANO BILA KIBALI
Kiongozi Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro baada ya kukosa dhamana. Kiongozi huyo anashikiliwa tangu jana alipokamatwa kwa kufanya mkusanyiko bila kibali. Zitto alikamatwa katika Kata ya Kikeo iliyopo wilayani Mvomero na…