JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

Liverpool Yaishusha Manchester United, Yaibebesha Furushi la Magoli West Hum

Mohamed Salah alifunga bao la lake la sita mfululizo na kuisadia Liverpool kupanda hadi nafasi ya pili katika jedwali la ligi kupitia ushindi mzuri uliowafurahisha mashabiki wake dhidi ya West Ham. Emre Can aliiweka kifua mbele timu hiyo ya mkufunzi…

ZARI THE BOSI LADY: NIMEMBLOCK DIAMOND PLATINUMZ WIKI TATU HATUONGEI

Mrembo Zari Hassan maarufu Zari The boss Lady amefunguka na kueleza kuwa hana mpango wowote wa kurudiana na mzazi mwenzake Diamond Platinumz. Zari aliyasema hayo, alipokuwa akifanya mahojiano na shirika la Utangazaji cha Uingereza (BBC),  na kuongeza kuwa uamuzi alioufanya…

PROF. LIPUMBA AMCHANA LIVE MALIM SELF

Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema chama hicho hakina nguvu kama awali kutokana na kutoshiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar. Akizungumza leo Februari 24, 2018 katika mkutano wa ndani na wananchama…

DK. MPANGO: WANAUCHUMI MAMBUMBU NDIO WAMETUFIKISHA HAPA TULIPO

Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji TIC na Mwenyekiti wa Kamati Uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wachumi Tanzania Economics Society Of Tanzania (EST) Bw. Godfrey Mwambe akipokea katiba ya Chama hicho kutoka kwa Vick Msima Meneja Msaidizi Idara ya…

DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

MWENYEKITI wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika,Dk.Titus Kamani amesema Serikali kupitia tume hiyo ni awaelekeza viongozi wa Vyama vya Ushirika kutojihusisha kuuza mali za vyama hivyo pasipo kuzingatia sheria.   Hivyo amesema hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika…