JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

Matumizi ya Tehama Kusaidia Kupunguza Msongamano Ofisi za DC na RC

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesema maboresho ya TEHAMA yanayofanywa na mhimili wa mahakama nchini utasaidia kupunguza foleni za wananchi wanaofika ofisi za Wakuu wa Wilaya na kwa Mkuu wa Mkoa kutafuta haki zao. Amesema kuwa kitendo…

Breaking News: Tazama Matokeo ya Kidato Cha Nne 2017, Yapo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017, ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu. Orodha ya Shule 10 Bora. 1. St. Francis Girls – Mbeya 2. Feza…

MZEE MAUTO: KIONGOZI LAZIMA AWE NAMNA HII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Januari, 2018 amewajulia hali wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Tumaini Jijini Dar es Salaam akiwemo muigizaji mkongwe nchini Mzee Amri Athuman, maarufu kwa jina la…

MANCHESETER UNITED YACHEZEA KICHAPO MBELE YA SANCHEZ

Wachezaji wa Tottenham wakishangilia baada ya kushinda.   Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino amewasifu wachezaji  kwa kuanza mechi kwa moto mkali baada ya Christian Eriksen kufunga bao sekunde 11 pekee baada ya mechi kuanza, na kufanikiwa kulaza Manchester United 2-0…

ANGALIA JINSI CHELSEA WALIVYOPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA BOURNEMOUTH

Mabingwa watetezi Chelsea wamefungwa bao 3-0 na Bournemouth nyumbani, ushindi ambao Kocha wa Bournemouth, Eddie Howe amesema kuwa matokeo hayo ni bora zaidi kwao Ligi ya Kuu. Mabao ya Bournemouth yalifungwa na Callum Wilson, Junior Stanislas na Nathan Ake yaliwahakikishia ushindi…

Balozi wa Ujerumani Tanzania ashiriki maadhimisho ya wahanga utawala wa Hitler

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dk. Detlef Waechter akizungumza na wanafunzi walioshiriki maadhimisho ya kumbukumbu ya wahanga waliopoteza maisha katika vita vya moto vilivyotokea mwaka 1933 hadi 1945 chini ya utawala wa kidikteta wa Adolf Hitler nchini Ujerumani. Ofisa Habari…