JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

RC MTAKA AHIDIWA USHIRIKIANO NA BALOZI WA IRELAND,INDONESI NCHINI TANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (Kushoto) akimkabidhi Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Prof Ratlan Pardede Mwongozo wa uwekezaji Mkoa wa Simiyu. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (Kulia) akifurahia jambo na Muwakilishi Mkaazi wa shirika…

MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA GODWIN KUNAMBI AKABIDHI VITAMBULISHO KWA MMACHINGA 140

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi (wa pili kulia) akimvisha kitambulisho rasmi mmoja ya Wafanyabiashara ndogo wa soko la jioni katika eneo la viwanja vya Nyerere Mjini Dodoma wakati wa hafla ya kuwapatia vitambulisho wafanyabiashara hao iliyofanywa…

Patrobas Katambi:CHADEMA Imepoteza Ajenda ya Misingi ya Chama

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la vijana la Chama cha Demookrasia na Maendeleo-CHADEMA ambaye hivi karibuni alikihama chama hicho na kuhamia CCM Patrobas Katambi amejitokeza kwa mara ya kwanza na kueleza udhaifu mkubwa wa kiuongozi uliopo ndani ya vyama vya…

Mzee Kingunge Kuzikwa Jumatatu, Makaburi ya Kinondoni, Dar

MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru anatarajiwa kuzikwa Jumatatu Februari 5, 2018 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa kamati ya maziko ya mwanasiasa huyo, Omary Kimbau amesema  Kingunge atazikwa saa tisa alasiri. Hata hivyo, amesema leo Ijumaa…

Wasira Atoa Ya Moyoni Kifo cha Kingunge

  Kada na mjumbe wa Mkutano Mkuu Wa CCM Steven Wasira amesikitishwa na kifo cha Kingunge Ngombale Mwiru  kwani kama Taifa alikuwa ni mtu muhimu wakati wote kutokana ushiriki na mchango wake katika nchi, akiwa ndani CCM alikuwa Kiongozi na…

WAZIRI MHAGAMA: MUSWADA WA SHERIA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KUNUFAISHA WATUMISHI WA UMMA

. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la Taifa la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) uliofanyika…