JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia kwnyw kurasa wake Twitter amewataka CHADEMA kusitisha kampeni za Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa heshima ya Mzee Kingunge Ngombali Mwiru aliyefariki juzi hospital ya Muhimbili alipolazwa baada ya kung’atwa na Mbwa wake. Zitto…

Yasome hapa magazeti ya leo Jumapili Februari 4, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili  Februari,4, 2018 nimekuekea hapa

Waziri Mkuu Asema Serikali Itaimarisha Masoko ya Mazao Nchini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija. Aliyasema hayo jana (Februari 2, 2018) wakati akikagua Kampuni ya Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), iliyoanzishwa kwa lengo la kuimarisha masoko. Alisema kupitia…

KATAMBI AELEZEA SABABU ZA KUYUMBA KWA CHADEMA

KADA mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Patrobas Katambi ameeleza sababu zinazochangia kudhoofika kwa vyama vya upinzani nchini. Amesema kuyumba kwa vyama hivyo kunachangiwa na ubinafsi waviongozi wake ambao wengine wageuza Chama ni mali yao na kutoamaamuzi ambayo si shirikishi….

DKT. NCHEMBA: UMAKINI UNAHITAJI KATIKA USAJILI WA WANANCHI KATIKA VITAMBULISHO VYA TAIFA

SERIKALI imewataka Watendaji wanaosimamia zoezi la usajili wananchi kwa ajili ya vitambulisho vya taifa kufanyakazi kwa umakini, uzalendo na kwa ushirikiano na jamii ili kuepuka kuandikisha na kuwapa watu wasio stahili vitambulisho vya raia. Kauli hiyo ilitolewa jana mjini Tabora…

Lowassa: Nitamkumbuka Mzee Kingunge kwa Moyo Wake

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Ngoyai Loowassa ameeleza kusikitishwa kwake na kifo cha aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, aliyefariki dunia jana Ijumaa, Feb. 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini…