Month: February 2018
Zuma Agoma Kung’atuka Madarakani
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekataa wito wa chama chake wa kujiuzulu kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Rais huyo amekuwa anakabiliwa na shinikizo zaidi kujiuzulu kufuatia mazungumzo na maafisa wa ngazi ya juu katika chama chake…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aapishwa Rasmi Bungeni
NAIBU Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amemwapisha Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi bungeni na kumkabidhia vitendea kazi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Tano cha Mkutano wa 11 wa Bunge, Mjini Dodoma, leo Feb 5, 2018….
MGOMBEA UDIWANI WA CHADEMA APOTEA KIMIUJIZA, MKOANI KAGERA
Kampeni za ubunge na udiwani zikiendelea, mgombea udiwani (Chadema) Kata ya Buhangaza wilayani Muleba amepotea katika mazingira ya kutatanisha. Imeelezwa alipotea februari 2, 2018 alipokuwa akitokea Bukoba Mjini kwenda nyumbani kwake Kijiji cha Buhangaza ikidaiwa ametekwa. Kaimu Kamanda wa Polisi…
CHADEMA YATANGAZA KUSITISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA WABUNGE
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kusitishwa kwa kampeni zauchaguzi wa Wabunge wa chama hicho zinazoendelea, ili kushiriki maziko ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Mzee Kingunge alifariki juzi kwenye Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa majeraha ya kung’atwa na mbwa…
MOROCCO BINGWA KOMBE LA CHAN 2018, WAITANDIKA NIGERIA BAKORA 4-0
Michuano ya kombe la Afrika kwa wachezaji wa Ligi za Ndani ( CHAN) imehitimishwa Jumapili kwa ushindi wa wenyeji Morocco waliofanikiwa kulinyanyua taji la michuano hiyo kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nigeria. Mchezaji wa Morocco Zakaria Hadraf alifanikiwa…