JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

‘BUNDI’ WA MGOGORO WA ARDHI ATUA ARUSHA

Na Charles Ndagulla, Arusha Halmashauri ya Jiji la Arusha imezidi kuandamwa na tuhuma za ugawaji holela wa ardhi inayomilikiwa na watu wengine, hivyo kuzidisha kero na malalamiko kutoka kwa wananchi. Hali hiyo imebainika ikiwa ni takribani wiki moja baada ya…

TLS: WANASHERIA HATUOGOPI MABADILIKO

Na Mwandishi Wetu Napenda nianze hotuba yangu kwa kuishukuru Mahakama kwa kuweka misingi ya kudumu katika kuadhimisha wiki ya sheria kila mwaka, kwa kufanya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama. Sisi mawakili na wanasheria ni wadau muhimu katika mchakato wa…

Msimamo wa AG Mpya Kuhusu Makinikia

Andiko hili ni la Mwanassheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Adelardus Kilangi. Aliliandika mwaka jana akiwa Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Tawi la Arusha. Dk. Kilangi kitaaluma ni mwanasheria ambaye miongoni mwa maeneo aliyobobea ni kwenye sheria za…

Kwaheri Kamanda Mlay

KANALI TUMANIEL NDETICHIA MLAY (1942 – 2018)   Nilipata mshituko mkubwa na kushikwa na majonzi pale niliposikia katika simu yangu ya kiganja, Kanali Lameck Meena akisema, “Jambo Sir, umesikia habari za kifo cha Kanali Mlay Sir?” Nilimjibu kwa mshangao, “We…

DALILI ZA SHAMBULIO LA MOYO

Kinga ni bora kuliko tiba. Mara nyingi magonjwa mengi yanahatarisha afya zetu kwa kutoziweka maanani dalili zake. Bila shaka makala hii leo itakusaidia katika kuzitambua dalili zinazoashiria shambulio la moyo na kuwahi kuwaona wahudumu wa afya. Uchovu usio wa kawaida Uchovu…

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU WA UMOJA WA ULAYA (EU)

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema jana alitembeleawa na Maofisa watatu kutoka Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza naye juu ya masuala mbali mbali yanayoihusu…