JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

CHADEMA : Mawakala wetu wamenyimwa viapo Kinondoni

Jana ilikuwa ndiyo siku ya kuwatambulisha na kuwaapisha mawakala kwa ajili ya Uchaguzi wa Marudio Jimbo la Kinondoni, Mawakala wa CHADEMA wamekataliwa kuapishwa. Awali tulibaini tatizo hilo Kata ya Hananasif ambapo Mtendaji wa Kata aitwae Richard Supu (0655998777), aligoma kuwaapisha…

SIMBA SC YAREJEA KIMATAIFA KWA KISHINDO, YAIBEBESHA FURUSHI LA MAGOLI GENDERMARIE YA DJIBOUTI

SIMBA SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Gendarmarie Tnare kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Magoli ya Simba yalifungwa na kiungo Said Hamisi Ndemla, Nahodha na mshambuliaji…

ZAMU YA SIMBA SC LEO KUONESHA MAKUCHA YAKE KWENYE MICHEZO YA KIMATAIFA

SIMBA SC inarejea kwenye michuano ya Afrika leo baada ya miaka minne, itakapomenyana na Gendarmerie Tnale ya Djibouti katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanbja wa Taifa jijini Dar es Salaam jioni ya leo….

RAIS MAGUFULI ASITISHA MPANGO WA KUWASAIDIA WAKIMBIZI

Tanzania inasema inajiondoa katika mpango wa Umoja wa mataifa wa kuwasaidia wakimbizi kuanza maisha mapya katika mataifa yanayowahifadhi. Tanzania limekuwa eneo salama kwa wakimbizi wengi na sasa inahifadhi zaidi ya wakimbizi 250,000 wa Burundi ambao walitoroka kwao ktutokana na matatizo…