JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela akizungumza na watumishi na wananchi wa Komkonga juu ya utunzaji wa vifaa hivyo na kupongeza uongozi wa Halmashuri kwa ujenzi wa maabara ndogo.  Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe aki shukuru…

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEBRUARI 15, 2018

                                                                           

Chadema yahofia wapiga kura wachache

NA WAANDISHI WETU Takribani siku nne kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro, hofu ya kujitokeza wapiga kura wachache imeibuka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHDEMA). Mgombea ubunge katika…

Usajili wachezaji wa kigeni uzingatie vigezo

NA MICHAEL SARUNGI Usajili wa wachezaji wa kigeni usiozingatia vigezo vinavyotakiwa umesababisha klabu nyingi zinazocheza Ligi ya Vodacom Tanzania Bara kujikuta zikisajili wachezaji wasiokuwa na viwango na kusababisha kukosa nafasi za kucheza na kuishia kukaa benchi. Wakizungumza na JAMHURI kwa…

AFYA: Usizidharau dalili hizi

Hizi ni dalili mbalimbali zinazojitokeza kwenye miili yetu. Japo zinaweza zisiashirie tatizo, lakini kama ikitokea zinajirudia mara kwa mara ni vyema kupata vipimo na ushauri wa kiafya. Dalili ya kwanza ni udhaifu wa kwenye miguu na mikono kunakoambatana na ganzi….

Demokrasia iliyotundikwa msalabani

  Mwaka 2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa letu la Tanzania, niliandika makala nyingi katika gazeti hili la JAMHURI. Makala zangu zilikuwa zinakosoa mwenendo wa chama tawala (CCM). Sihitaji kusimulia kilichonitokea lakini inatosha kudokeza kiduchu: ‘Niliambulia vitisho vya kuondolewa uhai…