Month: February 2018
Dkt. Slaa Apangiwa Ubalozi Sweden, Kuapishwa Leo Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini…
BAADHI YA WAZANZIBAR WAPAMBANA KUUVUNJA MUUNGANO WA TANZANIA NA TANZANIA BARA
Kundi la wanaharakati lenye wafuasi zaidi ya elfu arobaini kutoka visiwani Zanzibar wamefungua kesi katika mahamaka ya Afrika Mashariki wakitaka Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uvunjwe kwa madai kwamba hauna uhalali. Rashid Salum Adiy ambae ni mmoja wa…
Cyril Ramaphosa Achaguliwa Kuwa Rais Mpya wa Afrika Kusini, Achukua Nafasi ya Jacob Zuma
Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril Ramaphosa amepishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu. Rais huyo mpya alikuwa mtu wa pekee aliyeteuliwa siku ya Alhamisi huku uteuzi huo ukiungwa mkono kwa…
FULL TIME MWADUI FC VS SIMBA SC(2-2)
Refa anapuliza filimbi kuanshilia mtanange unaanza na Mwadui ndio wanaanza mpira. Dakika ya 1: simba wanarusha mpira. Dakika ya 8 : faulo kuelekea lango la mwadui Dakika ya 9: Goooooooooooo Boko anawanyanyua mashabiki vitini, simba 1 Dakika ya 11: Simba…
SIMBA SC KAZINI TENA LEO KUUMANA NA MWADUI FC
Timu ya Simba leo inashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kuumana na Mwadui Fc kwenye uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga. Simba ndio vinara wa ligi hiyo baada ya kujikusanyia point 41 ikiwa imecheza michezo 17, huku mwadi…