Month: February 2018
SERIKALI KULIPA FIDIA WANANCHI UJENZI WA BANDARI ZA ZIWA NYASA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye akiteremka kwenye boti katika ziara yake ya kukagua huduma za mawasiliano na maeneo ya kujenga bandari kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa aliyoifanya kuanzia…
MAHAKAMA YAANZA UJENZI WA MAHAKAMA TATU MKOANI GEITA
Jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita na Mahakama ya Wilaya Geita likiwa katika hatua za awali za ujenzi Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bukombe likiwa katika hatua za awali za ujenzi wake katika mji mdogo wa…
ZANZIBAR YAKABIDHIWA CHETI CHA KIMATAIFA CHA UBORA WA KUTOA HUDUMA
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo katikati akizungumza mara baada ya kupokea Cheti cha mfumo wa uhakiki ubora wa huduma cha kiwango cha kimataifa cha ISO 9001:2015 katika hafla iliyofanyika Ofisi za ZFDA Mombasa mjini Zanzibar Wakala wa Chakula na…
Hizi Hpa Mbinu Mpya za Serikari Kuwafanya Wanaume Wapime UKIMWI
Serikali imeandaa kampeni ya kitaifa ya kuhakikisha kuwa wanaume wanapima kwa hiari maambukizi ya Virusi ya UKIMWI. Hayo yamesema na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama alipokuwa katika…
PIGO KWA CHADEMA MADIWANI WATATU WA CHADEMA WAAMIA CCM, NGORONGORO, ARUSHA
Arusha. Madiwani watatu wa chadema katika halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro mkoa Arusha ,wamejiuzuru na kujiunga na chama cha mapinduzi(CCM) Kujiuzulu kwa Madiwani hao sasa kumeongeza Madiwani wa Chadema waliohamia CCM mkoa wa Arusha ambao wanafikia 15 ndani ya mwaka…