JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Siha

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), kumtangaza Dk Godwin Mollel kuwa mshindi wa kiti hicho. Nec imemtangaza rasmi Dk Mollel kuwa mshindi wa uchaguzi…

Matokeo ya Uchaguzi Siha Kutoka Vituo Mbalimbali

MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo.   Katika matokeo hayo, Dk Mollel  anafuatiwa kwa…

UCHAGUZI KINONDONI MCHUANO MKALI KATI YA CCM YAONGOZA IKIFUATILIWA KWA KARIBU NA CHADEMA

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kinondoni yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Maulid Mtulia akiongoza katika baadhi ya vituo. Katika matokeo hayo, Mtulia anafuatiwa kwa karibu na mgombea wa Chadema,…

Aliyepigwa Risasi na Polisi ni Kumbe ni Mwanafunzi wa NIT

Aliuawa baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Chadema Dar es Salaam. Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam na kufariki dunia ni mwanafunzi wa chuo hicho….

MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA

 Uongozi wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania ukitembelea bwawa linatumiwa kufundishia wanafunzi ufugaji wa samaki katika Chuo cha Kilimo, Mifugo na Maliasili (Canre), kilichopo Bonyokwa nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Anaye waongoza ni Mkuu wa Chuo hicho,…